Kusahihisha kulikopita 1998.02.21
eo : svahila hejmpagxeto
en : Swahili homepage

Kwa Lilendi
Ukurasa katika lugha ya Kiswahili

Jambo? Habari gani? Karibu chakula!
Jina langu ni Lilendi. Nakaa hapa Seatleni (Seatle ni mji mkubwa katika ng'ambo -- kaskazini na mashariki -- ya Amerika). Peter Urio alikuwa mwalimu wangu; alinifundisha Kiswahili wakati wa miaka 1977 na 1978. Niliandika hadithi iitwaye "Naomi na Joka", habari za msichana wa Wahindi Wekundu wa kabila ya Waseminole. Sasa, nimesahau Kiswahili. Mnisaidieni kukumbuka. Asante sana. Mniandikieni. Kwa herini.

Ukurasa huu ni sehemu ya La Lilandejo
http://www.scn.org/~lilandbr/
mahali utandoni pa Lilendi Brayant Ros