GENERAL

GENERAL

SWAHILI
ENGLISH
Habari
News
Hujambo?
How are you?
Sijambo
I am fine
Jina 
Name
Jina lako
Your name
Jina lako nani?
What is your name?
Wapi
Where
Unaishi wapi?
Where do you live?
Ninaishi na wazazi wangu
I live with my parents
Ndugu (Can either be a brother or a sister)
Brother/sister
Una ndugu wangapi?
How many brothers and sisters do you have?
Nina kaka na dada
I have brother and sister
Nani mkubwa kati yenu?
Who is the oldest between you?
Dada yangu ndio mkubwa
My sister is the oldest 
Mwanzo/kwanza
First
Mwisho
Last
Mwanzo mpaka mwisho
 First until last
Nina
I
Taka
Want
Maji
Water
 
Ninataka maji (or nataka maji)
I want water 
Sitaki (sitaki is opposite of ninataka or nataka) 
I don’t want 
Sitaki maji 
I don’t want water 
Chai 
Tea
Kunywa
Drink
Weza 
Can 
Pata
Have
Kupata 
To have
Naweza kupata chai
Can I have tea
Samahani, hakuna chai 
Sorry, there is no tea
Samaki 
Fish 
Mchuzi 
Curry 
Mchuzi wa samaki 
Fish curry 
 
Usafiri
Transport 
Gari
Car
Baiskeli
Bicycle
Pikipiki
Motorcycle
Treni (Gari moshi) 
Train
Ninasafiri
Iam travelling
Unakwenda wapi?
Where are you going to?
Saa 
Time
Hivi sasa ni saa ngapi?
What time is it now? 
Sasa hivi 
At this time 
Treni ya London itaondoka saa ngapi?
At what time will train to London depart? 
Treni ya London itaondoka saa saba unusu mchana
Train to London will depart at half  past one in the afternoon. 
Ninaweza kununua tiketi sasa? 
Can I buy ticket now?
Ndio, unaweza 
Yes, you can
Huduma
Service
Hudumia
Serve
Wana-hudumia chakula ndani ya treni? 
Do they serve food in the train? 
Ndio, wanahudumia chakula
Yes, they serve food 
Naomba chakula moto haraka!
Please, bring me some hot food quickly!
Nina njaa (sana)! (Nasikia njaa sana!)
I am (very) hungry!
Nipatie kinywaji baridi, tafadhali!
Bring me a cold drink, please!
Nina kiu (sana)! (Nasikia kiu sana!)
I am (very) thirsty!
Kinywaji
Drink (noun)
Baridi
Cold
Moto
Hot
chakula
Food, Meal
Kunywa
Drink (verb)
Kula
Eat (verb)
Tafadhali
Please
Ahsante sana kwa msaada wako 
Thank you very much for your help 
Msaada 
Help
Msaada wako 
Your help
Nisaidie, tafadhali!
Help me, please!
Kwaheri
Goodbye
Karibu
Welcome 
Rafiki
Friend
Hatari
Danger
Samahani/Pole
Sorry
Samahani
Excuse me please
Ninaweza kusema Kiswahili!
I can speak Swahili!
Nimefurahi (sana)!
I am (very) happy
Siwezi kusema Kiswahili!
I can't speak Swahili!
Nimekasirika!
I am angry!