Mashirika yanayoweza kutusaidia katika malengo yetu (facilitators)
- Mashirika yanayohusika barabara
- Wizara ya Miundombinu
- TANROADS
- Halmashauri ya Jiji ya Dar es Salaam
- Halmashauri za Wilaya - Ilala, Temeke na Kinondoni
- Mashirika yanayohusika usafiri na baisikeli
- SUMATRA – inahusika dala dala
- Dar es Salaam Bus Operators Association DABOA
- Chama cha Baisikeli Dar es Salaam CHABADA (ambao wanashughulika mashindano ya baisikeli)
- Mashirikia yanayohusika na sheria
- Wizara ya Sheria
- Wizara ya Usalama - Polisi na Trafiki
- Legal and Human Rights Centre (shirika la siyo la kiserikali)
- Wizara zinazohusika watu ambao wanapata faidha kutoka baisikeli (beneficiaries)
- Wizara ya Elimu
- Wizara ya Ajira, Vijana na Michezo
- Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto
- Wizara ya Afya
- Wizara ya Utalii
- Mashirika ya Elimu
- Vocational Education and Training Authority (VETA) - wanafundisha ufundi wa baisikeli
- Chuo kikuu cha Dar es Salaam - idara za sheria na ukufunzi
- Makampuni ambayo yanayohusika na baisikeli
- Makampani yanayouza bidhaa kwa baisikeli
- Azam (icecream)
- Kampani ya kichina inayouza icecream
- Vodacom
- Tuturo flowers
- Makampani yanayotengeneza baisikeli
- NABICO
- Swala
- Palray (baisikeli za walemavu)
- Gupta, kampuni ya Guta
- Bora Tyre
- DSI Bicycle Tyres
- Makampuni ambayo wafanyakazi wake wanazunguka kwa baisikeli
- Courrier kama DHL
- Kampani za ulinzi kama Knight Support, Dragon, Ultimate Security, Net Support, Group 4
- Mashirika ya siyo ya kiserikali
- Tanzania Association of NGOs (TANGO)
- National Environmental Management Council
- Tanzania Media Women’s Association
- Balozi
- Ubalozi wa Netherlands (ambapo kuna hali nzuri ya baisikeli)
- Ubalozi wa China (wanauza baisikeli nyingi)