Wateule kinoma noma wakiwa wameshajitoa ukunguni!..wanategemea kuja na album ambayo itaitwa UKUNGU Ikiwa ni moja kati ya nyimbo zilizomo ndani ya Album hiyo ya Ukungu ambayo inategemewa kutoka mwanzoni mwa mwezi wa kwanza. Album hiyo ambayo inategemewa kuwa na nyimbo zisizo punguwa kumi na moja ambazo zote zina AKILI za kutosha kabisa Itauzwa katika mfumo wa CD na CASSETTE pia kutakuwa na video ya jinsi gani ambayo itatengenezwa siku hiyo ya uvumbuzi wa Album hiyo. Nyimbo zitakazokuwemo ndani ya Album hiyo ni 1.Wabakiaji feat NAZIZ 2.Jinsi gani feat SOLO THANG 3.Ukungu 4.Ningetawala feat NAZIZ 5.Hip hop na Ragga feat Lady LUO & SOLO THANG 6.Ogopa feat NAZIZ from Kenya & MACK II B 7.Yaliyomo 8.Watakuja Watafanya kisha Watakitoa feat..BDP & GANGWE MOBB 9.Hawapendi kuwaona 10.Jinsi gani [Live version] 11.Ningetawala [Live version] Licha ya hizo tu kutakuwa na bonus track bado iko studio! sitawaambia jina lake ili iwe suprise kwenu wapenzi wa WaTEuLe! prepeared by:jjo da' Premiere jjorapstudio@Hotmail.com