TOP

Back to Hati za Kale na za Leo: Page List

I Previous page I Full page List I Next page

Contents :

Casement Report

[Ref cited: British Parliamentary Papers, 1904, LXII, Cd. 1933]

  1. Mafungo machache katika Kiswahili - 'Ripoti ya Casement'
  2. Quelques passages en français - 'Le Rapport Casement'
  3. King Léopold denies charges against him - 1906

congo mask
mbangu mask, Pende, Congo.
Wood and pigment; Private Collection


Maelezo ya :Casement Report

Ripoti hii inafika mpaka mwisho ukarasa arobaini ya maandiko ya Parliament (Halmashauri ya Uingereza), na mwisho yake zimeongezwa ukarasa ishirini nyingine zilizosanyikwa na Balozi ambazo zina maneno ya mwingineo binafsi, na baadhi zinazoleta habari za uuaji ukatili, uharibifu, wizi wa watoto na mapigo makali ya wanaume, wanawake na watoto na askari za Bula Matadi (jina lililotumizwa na wenyeji kuwa nchi Kongo chini ya maangalizi ya Mfalme Leopold). Nakala za ripoti na viongezo zilipelekwa na Serikali ya Uingereza kwa Serikali ya Ubeljiki, na pia kwa serikali (Ujerumani, Ufaransa, Urusi, na kadhalika) ambazo zilitia sahihi katika Kitendo cha Masharti, Mapatano ya Berlin, mwaka 1885. Hivyo, Uangalizi wa Kongo ulilazimishwa kuanza upelelezi wa vitendo viovu vilivyotajwa katika Ripoti na ulifika hadi ya kufunga na kuadhibisha maafisa weupe wale waliohusiana na uuaji kwa kusudi na bila huruma wakati wa safari moja kuleta mpira mwaka wa 1903 (alikuwamo miongoni mwao mmojao, raia ya Ubeljiki, aliyeingizwa kifungoni cha kutumikiwa muda wa miaka mitano kwa sababu ya kupiga na bunduki iwayo yote wenyeji 122 wa Kongo).


Mafungo machache katika Kiswahili

Nimepata heshima kuweka ripoti hii ya safari zangu kwenda Kongo Juu.

... pande la nchi lililozuriwa lilikuwa lile ya katikati kabisa ndani ya nchi ya Kongo. Tena, nilipata uwezo wa kutofautisha hali lake la sasa na hali ya nchi niliyokuwa nikapata kujua tangu miaka kumi na sita....na kwa hivyo, niliweza kupambanisha baina ya hali ya mambo ambayo niliyaona mimi mwenyewe wakati wenyeji walipenda maisha yao huru na kutopangwa katika jamia zao, bila uzuifu wa Wazungu, na yale yaliyofanyikwa katika zaidi ya miaka kumi ya kujiingiza kizungu kwa nguvu....na watu wa serikali ya Ubelgiki wakapoletea taratibu zao za utawala juu ya upande uliokuwa moja wa kimwitu mno kuliko pande zote za Afrika.

....kikundi cha merikebu....huelekezwa safarini kati ya mto mkuu na mikono yake mikubwa kwa vipindi thabiti. Hivyo, mawasiliano ya kawaida yawezeka mpaka baadhi ya vipande vigumu sana vya kufikia katika pande za Afrika ya Katikati.

Njia ya reli, imeyojengwa vizuri sana, hasa kuangalia matatizo yaweza kupatikana, sasa inaungisha bandari za bahari na Stanley Pool, kupita jimbo la nchi ngumu, iliyopatiza msafiri mchovu mapingamizi mengi yakupisha na siku nyingi ya ulegevu mno wa mwili....Jimbo la maporomoko ya maji, ambalo hupitwa na njia ya reli...ni...nyumba, au kizalio cha homa ya malale(mbung'o) - maradhi ya kuogofya kweli ambayo inafanya bidii kuingia katika moyo wa Afrika...Jumla ya wenyeji wa Kongo Chini imepunguzwa pole pole kwa kutekwa na maradhi hii ambayo baado haipimiki kwa yakini wala haiponyeki, na kama sababu, ya kutazamia uangamizi wa jumla wa maisha ya watu nimeyopata kuona popote katika majimbo nimeyasafiria, mahali pakubwa patakiwa weka mbali kuwa ya ugonjwa huu....Jumuiya nyingi ya watu nilizojua kuwa misongano mikubwa ya wakaazi zimeghibika kabisa leo.

Kwa jumla, niliona wafanya kazi wa serikali (wenyeji wa Kongo).. walikuwa wakiangaliwa vizuri...Taabu kuu kuwaangalia jumla ya wafanyakazi wa kadiri kubwa kama hiyo (wahesabika 3,000) yatoka kwa shida ya kuwa kuleta chakula cha kutosha kutoka nchi ya jirani...Wakaazi wa majimbo wanalazimshwa wape kiasi maalum kila wiki....hii ni kama matakwa yatozwe kwa vijiji vyote vya jirani...Hata kama hiyo kwa njia yote inatakiwa, weneyeji wanaotakiwa wape hawafurahishi na kazi hii, na ndio hunung'unika kwamba idadi zao hupunguka kila mwaka lakini sharti zinazowekwa zinaendelea bila ubadili, au hata huzidishwa....(Mtu wa seikali) inalazimishwa daima ashurutishe wenyeji wa mahali, hata katika siku hizi sharti hizo hazikuwi za matakwa tu. Miendo yenye silaha imehitajiwa, na njia inayo uwezo zaidi kutozwa chakula (mbuzi, kuku, n.k) imefuatiwa ambayo haikufikiriwa katika sheria na tena iko bila haki. Katika vijiji kumi na viinne vilivyopitwa na safari moja iliyopelekwa kufuata nia maalum mwisho wa 1900 watu kumi na saba walighubika. Kumi na sita katika hao, ambao majina yao yalipewa kwangu waliuawa na wajeshi, na maiti zao zilipatikana tena na rafiki zao....Watu kumi walifungwa na walichukuliwa kama mahabusi, lakini waliachwa huru baada ya rafiki zao kutoa lipo la mbuzi kumi na sita....

...Watu baado hawakuzoea wenyewe kwa rahisi na hali ya maisha nyingine imeyoletwa na serikali ya Ulaya miongoni mwao. Zamani, walipozoea kuenda katika safari ndefu chini mpaka Stanleypool kuuza watumwa, pembe, samaki kavu, au vizalio vienyeji viingine...leo wajiwaona kuwapingwa na kazi za namna hizo...Uuzaji wazi wa watumwa na vikundi vya mitumbwi vilivyopita katika Kongo Juu (Mto) havionekani popote...(tena) nyinginezo zilizokuwa bila lawama katika maisha ya wenyeji zimeondolewa vile vile kwa mikono ya wenyeji ya Kongo Juu...

Mashtaka ya namna kufanyikiza kazi...ni mengi...Afisa wa mtaa akiwa yatakwa kwenda safarini kwa ghafula, watu wanaitwa mara mmoja wapige kafi katika mtumbwi wake, na kukataa kuwa fuatwa na kifungo au mpigo. Ikiwa konde la Serikali au shamba la mboga hutakwa kupaliliza, askari atapelekwa kuwaita wanawake katika baadhi miji ya jirani...kwa wanawake kulazimishwa hivi bila kutazamiwa, waache kazi zao za nyumbani na waende kwa miguu, jembe mkononi, mtoto mgongoni na labda muume anaye njaa na hasira nyumbani, kazi hii siyo ya kupokea na furaha.

Nilizuru vijiji vikubwa viwili katika nchi za ndani...ambavyo niliona nusu kamili ya jamii ya watu walikuwa wakimbizi watafutaji salama....Niliwaona na niliswali idadi ya vikundi vya watu hawa...Waliendelea kujulisha, walipoulizwa sababu ya kukimbia (mitaa yao), walivumilia vitendo vikali chini ya mikono ya askari za serikali katika yao(majimbo) hata maisha haikuhimiliwa; hakuwa chochote kilichobakia nyumbani kwao ama kuuawa kwa ukosefu wa kuletea kiasi maaalum ya mpira, ama kufa kwa njaa au kufunuliwa katika majaribio yao kuridhisha matakwa yaliyowalazimishwa.... Baadaye nilikuta wengine (watu wa kabila lile) waliohakikisha ukweli wa maneno haya.

..siku ya Juli 25 (1903) tulifika Lukolela, ambapo nilikaa siku mbili. Jimbo hilo nilipozuru katika mwaka wa 1887 lilikuwa na idadi zima ya watu 5,000; leo msongano wa wakaazi baada ya hesabu angalifu hupewa kuwa kasoro ya 600. Sababu zilizotolewa za upungufu wa idadi zilikuwa zile zile zilizolipwa mahali pengine, yaani homa ya malale, ugonjwa wa wote, ukosefu wa chakula, na njia zilizokuwa zikatumizwa na watumishi wa serikali kienyeji kuwafanyiza kazi, na honga zilizotozwa nazo.

Vijiji vingine nilivyozuru, niliona kodi hii ilikuwa ni vikapu, navyo ambavyo vilitakiwa wenyeji vitengeneze na vipeleke kila wiki pamoja na, wakati wote, kiasi maalum ya chakula. (Wenyeji) walipigwa mara nyingi kwa kutofanya bidii au kutoweza kumaliza hesabu ya vikapu hivi, au kutoleta vyakula vya wiki. Watu wengi, hata pia mjumbe wa mji mmoja, alionyesha milia mipana katikati ya matako yaliyaonekana kuwa mipya. Mmojawao, kijana aliyekuwa na miaka 15 au hivi, alipovua kitambaa chake, alionyesha makovu mengi katikati ya mapaja yake ambayo alituambia yeye na wenzake waliokuwa naye yalikuwa mlipo wa ukosefu wa kuletea vyakula vyao juzi juzi.

Tazamio angalifu katika hali ya maisha ya kienyeji pande zote ( Ziwa Mantumba) ilihakikisha ukweli wa maneno yaliyotolewa - ambayo upungufu ukubwa wa watu, miji michafu iliitunzwa vibaya, na kutokuwapo kabisa ya mbuzi, kondoo, na kuku - waliokuwa wengi katika nchi hii - yawezekana kuliko zote nyingine kuwa kwa sababu ya nguvu bila kikomo iliyoendelea miaka mingi kulazimisha wenyeji wafanye kazi ya mpira-hindi. Vikundi vikubwa vya askari za kienyeji walikuwa wamekalishwa katika wilaya, na mashauri ya marudio kupata mradi huu yalikuwa yameishi kwa muda mkubwa. Katika mwenendo wa kazi hizo, maisha nyingi zilipotewa, nina hofu, pamoja na uharibifu wa watu maiti kuonyesha wazi kwamba askari walifanya kweli wajibu zao.

Kadhia mbili (za uharibifu) zilkuja mbele ya tazamo langu lenyewe wakati nilikuwako katika upande wa maziwa. Mmoja, mvulana, ambaye mikono yake yote miwili iliyokuwa imepigwa mpaka utovu na matako ya bunduki juu ya miti; mwingine wa mtoto mjana wa umri wa miaka 11 au 12, ambaye mkono wake wa kulia ulikuwa umekatwa kiwikoni..... Katika kadhia hizi zote mbili, askari za serikali walisuhubiana na maafisa weupe ambao majina yao yalinijulishwa.. Kwa wenyeji sita (msichana mmoja, watoto watatu, kijana moja na mama mzee mmoja) waliokuwa wameharibiwa hivyo muda wa utawala wa mpira, wote walikuwa wamekufa ila mmojawao wakati wa ziara yangu.

[Mlinzi mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni moja iliyoruhusiwa nchini] alisema alikuwa amekwisha kamata, na amewawekea ufungoni kama mahabusi (wanawake kumi na mmoja) kulazimisha waume wao walete mpira ya kiasi iliyokuwa sawa na ile iliyotakiwa nao siku ya soko ijayo....Nilipouliza itawafuataje ikiwa waume wao walikosa kuletea mpira ya kiasi kamili...alisema mara moja watahifadhiwa huko mpaka waume wao watekeleze masharti kuwavua.


Kusoma katika Kiingereza mafungu haya, nenda na kuzuru : Casement Report

Kupata habari nyingine ya kuhusiana na mambo ya ripoti hii tumia kiungo hicho : Mundus 2


Roger Casement (1 September 1864 – 3 August 1916) alizaliwa huko Dublin, Ireland. Alikuwako katika Uangalifu wa Kongo Huru toka 1883, wakati alipokuwa na umri wa miaka 19, na alikuwa mfanya kazi wa Mfalme Léopold II wa Ubeljiki katika chama chake cha 'Association Internationale Africaine'. Alikuwapo pale, alimkuta Henry Morton Stanley, msafiri maarufu, pia mfanya kazi wa Mfalme Mbelji, na alimjuana na Joseph Conrad, ambaye aliyevunja urafiki naye baadaye aliposongwa na kamba kwa sababu ya fitina juu ya Serikali ya Uingereza muda wa Ugomvi wa Ulimwengu wa Kwanza, hata ikiwa maandishi mashuhuri, Sir Arthur Conan Doyle na George Bernard Shaw, waliomba serikali amwonyeshe rehema na kumwachilia. Kabla yakujiuzulu kwa huduma ya serikali ya ukoloni, alishika vyeo vya kazi ya balozi nchi ya Nigeria, na miji ya Lourenco Marques (Maputo), na Rio de Janeiro. Alijiona mwenyewe, kama wengi wengine, kuwa mshairi, mpendaji wa nchi yake, mpinduzi, na mzushi. Kusoma mambo mengine yake hasa katika kiingereza, lakini tena katika vilugha vyingine, fuata kiungo cha Roger Casement

Back to Top


Casement Report Quelques passages en français

J'ai l'honneur à soumettre mon rapport de mon voyage récent sur Le Congo Haut.

… la région visitée était une des plus centrale dans l'état du Congo.... D'ailleurs, j'ai été permis, en visitant ce district, constituer son état actuel avec la condition en laquelle je l'avais sue depuis quelques seize ans... et, ainsi, je pouvais constituer une comparaison entre un état des affaires que j'avais vu moi-même quand les indigènes ont aimé leurs vies sauvages en sociétés anarchique et en désordre, hors de contrôle des Européens, et celui créé par plus d'une décade d'une intervention européenne très forte... par les agents Belgiques en mettant en place leurs moyens de règler une des plus sauvages régions en Afrique. …

...une flotte des vapeurs... dirigent le fleuve principal et ses affluents principaux aux intervalles établis. Ainsi les moyens de communication réguliers se sont permis aux endroits les plus inaccessibles de l'Afrique Centrale.

Un chemin de fer, excellemment construit voyant les difficultés rencontrées, relie maintenant les ports océaniques à Stanleypool, à travers une étendue d'un pays difficile, qui autrefois a offert au voyageur las, et à pied, beaucoup d'obstacles à franchir, et plusieurs jours d'une grande fatigue corporelle. La région de cataracte, laquelle le ferroviaire parcourt… est... le domicile, ou lieu de naissance de la maladie du sommeil--une maladie terrible qui, trop en même temps, ronge sa voie dans le coeur de l'Afrique…. La population du Congo Bas a été graduellement réduite par les ravages de cette maladie inarrêtée, jusqu'ici indiagnostiquée et incurable, et comme une cause apparemmente de la réduction en gros de l'humanité que j'ai observée partout dans les régions revisitées, il faut assigne une position prééminente à cette maladie…. Communautés, celles qui j'avais connu autrefois aussi grands et florissants milieus des peuples, aujourd'hui sont disparus complètement ….

Plutôt les ouvriers de gouvernement (indigènes congolais)... me frappa comme étant bien soignés. La difficulté en chef gerant un staff si grand [3.000 en nombre] résulte d'un manque des sources suffisantes d'approvisionnement alimentaire dans les environs …. Les indigènes du district sont forcés à fournir une quantité fixe chaque semaine...cela qu'ést imposée par réquisitions sur tous les villages environnants…. Ce, autant qu'est nécessaire, n'est pas une tâche bien-reçue par les fournisseurs indigènes qui se plaignent que quant chaque année leurs nombre decline, les demandes faites sur eux demeurent invariables, ou tendent même à s'augmenter. …. (Le responsable officiel) est obligé à exercer une pression constante sur la population locale, et dans ce dernièrs temps cette pression n'avait pas pris toujours la forme simple d'une demande. Il y en a des expéditions armées nécessaires et un procédé plus fort utilisé de lever les provisions[par exemple, chèvres, volaille, etc.] que la loi a envisagé ou justifie. Le résultat d'une expédition, qui a eu lieu vers la fin de 1900, était qu'entre quatorze petits villages traversés, dix-sept individus a disparu. Seize de ceux-ci dont les noms m'ont été donnés ont été tués par les soldats, et leurs corps repris par leurs amis... Dix personnes ont été cordées et enlevées comme prisonniers, mais ont été libérées sur le paiement de seize chèvres par leurs amis….

Un hôpital pour Européens et un établissement conçu comme hôpital indigène sont à la chargé d'un médecin européen.... Quand j'ai visité les trois huttes de la terre qui servent (comme l'hôpital indigène), toutes-dilapidées.... j'ai trouvé dix-sept patients avec la maladie du sommeil, des hommes et des femmes, laisser trainer en grande saleté. Les édifices que j'avais visitées.... n'ont été duré plusieurs années que la seule forme de hospitaliser les personnels indigènes nombreux du district.

....Le peuple ne s'est pas facilement adapté à l'état dérangé des conditions de vie provoqué par gouvernement européen au milieu d'eux. Là, où auparavant, il a été habitué faire les longs voyages descendant vers Stanleypool à vendre des esclaves, d'ivoire, des poissons secs, ou d'autres produits de lieu... ils se trouvent aujourd'hui exclués de toute activité pareille…. La vente ouverte des esclaves et les convois de canoë, qui ont navigué le Congo Haut (fleuve), ont disparu partout…. (mais) beaucoup qui n'était pas répréhensible dans la vie indigène a disparu avec lui... La traite d'ivoire aux mains des indigènes du Congo Haut aujourd'hui est tout à fait supprimée ....

Les plaintes de la façon d'éxiger le service sont....fréquent.... …. Si le fonctionnaire local doit aller tout à coup en voyage les hommes sont appelés à l'instant pour barboter son canoë, et un refus entraine l'emprisonnement ou une bastonnade. Si la plantation gouvernementale ou le potager ont besoin de sarcler, un soldat serait envoyé appeller les femmes de quelques villes voisines.... ; aux femmes soudainement obligées à abandonner leur ménages et faire marcher, houe sous la main, bébé sur le dos, et peut-être avec un mari affamé et fâcheux à la maison, la tâche n'est pas bienvenue.

J'ai visité deux grands villages dans l'intérieur. où j'ai constaté qu'actuellement les réfugiés se composent toute la moitié de la population. J'ai vu et j'ai interrogé groupes divers de ces personnes…. Ils allaient déclarer, quand on a demandé pourquoi ils fuyaient (leur district), qu'ils avaient supporté tel traitement aux mains des soldats de gouvernement dans chez eux (district) la vie était devenue intolérable ; car pour eux, rien n'était resté à la maison qu' être tués soit par le manque d'apporter assez du caoutchouc soit à mourir de la faim ou de l'exposition en leurs tentatives à satisfaire les demandes faites sur elles. …. Plus tard j'en ai trouvé les autres (membres de la tribu), ceux-ci qu'ont confirmé la vérité des déclarations faites à moi.

… .. le 25ème juillet (1903) nous avons atteint Lukolela, où j'ai passé deux jours. Ce district a compté, quand je l'ai visitée en 1887, 5,000 personnes pleinement ; aujourd'hui la population est donnée, après une énumération soigneuse, moins d'à 600. Les raisons données à moi par lesquelles decline leur nombre étaient semblables à ceux munies ailleurs, à savoir, la maladie du sommeil, la mauvaise santé généralement, l'insuffisance de nourriture, et les méthodes utilisées pour obtenir leurs travaux par les fonctionnaires locals et les exigences imposées sur eux.

Aux autres villages que j'ai visités, j'ai vu que l'impôt se compose des paniers, ceux-ci que les habitants ont dû faire et livrer chaque semaine aussi que, toujours, une certaine quantité de produits alimentaires. (Les indigènes) ont été fréquemment flagellés pour retard ou incapacité d'achever le compte de ces paniers, ou la fourniture hebdomadaire de nourriture. Plusieurs hommes, même un chef d'une ville, ont montré des grandes enflures à travers leurs fesses, qu'évidemment étaient récentes. Un garçon agé 15 ou ainsi, enlevant sa cretonne, a démontré plusieurs cicatrices à travers ses cuisses qu'il, et les autres autour de lui, ont dit faisaient partie d'une rémuneration hebdomadaire pour un defaut recemment dans leur approvisionnement.

..…. Un examen soigneux des conditions de la vie indigène environs (Lac Mantumba) a confirmé la vérité des déclarations faites à moi--que le grand décrement de la population, les villes sales et mal tenues, et l'absence totale des chèvres, des moutons, et des volailles--une fois très abondant dans ce pays--seraient dû surtout à l'effort continuel fait au cours beaucoup d'années pour contraindre les indigènes aux travaux du caoutchouc. Il y a eu un grand corps des troupes indigènes logé autrefois dans ce district, et les mesures punitives prises jusqu'à ce bout avaient eu une durée assez considérable. Pendant ces opérations il y avait eu nombreuses victimes, en même temps que, je craigns, une mutilation quelque sorte générale du mort, à temoigner que les soldats aient fait leur devoir.

…. Deux cas réels (de mutilation) me sont venus à remarquer tandis que j'étais dans le district de lac. Un, un jeune homme, qui a eu tous les deux mains battues avec les crosses des fusils contre un arbre...et l'autre, un garçon d'âge 11 ou 12 ans, lequel la main droite a été coupée au poignet. …. Dans tous ces deux cas les soldats gouvernementals avaient été accompagnés par les officiers blancs dont les noms m'ont été donnés. Entre six indigènes (une fille, trois petits garçons, un jeune homme, et une vieille femme) qu'avait été mutilé de cette façon pendant le régime de caoutchouc tous, à part d'un, étaient morts à la date de ma visite.

[Une sentinelle dans l'emploie d'une des entreprises privées concessionnaires] a dit qu'il a capturé et avait détenu comme prisonniers (onze femmes) pour ainsi contraindre leurs maris apporter la quantité exacte du caoutchouc commandé d'eux le jour suivant du marché . …. Quand j'ai demandé ce qui arriverra au ces femmes si leurs maris ne réussiraient pas achèver la quantité qu'il faut du caoutchouc, il a dit aussitôt qu'alors elles seraient gardées là jusqu'à leurs maris les aient rachetés.

[Ref cited.: British Parliamentary Papers, 1904, LXII, Cd. 1933]


Roger Casement (le 1 Septembre, 1864 au 3, Août, 1916) a été né à Dublin, Irlande. Il était dans l'état libre du Congo dès 1883, d'âge 19 années, et a travaillé pour le Roi Léopold II la Belgique et sa entreprise de ' L'Association Internationale Africaine'.Lorsque il était là, il a rencontré Henry Morton Stanley, l'explorateur célèbre qui a travaillé pour le même roi belge,et a fait la conaissance de Joseph Conrad qui devrait casser son rapport avec lui plus tard, quand il a été pendu pour trahison contre le gouvernement Britannique pendant la première Guerre Mondiale, en dépit des appels pour clémence par Sir Arthur Conan Doyle et George Bernard Shaw. Avant qu'il a résigné du service colonial, il a tenu des emplois consulaires au Nigéria, le Lourenco Marques, et le Rio de Janeiro. Il s'est vu, de même que beaucoup d'autres, en tant qu'un poèt, un patriote, un révolutionnaire, et réformateur.


Pour plus de détails voir l'article à Wikipedia Roger Casement (dans l'Anglais est le meilleur - on y trouve les liées aux autres pages en langue diverses, le 'Casement Report', et même Na Ceannairí a cuireadh chun báis tar éis Éirí Amach 1916 — Irish government (le site gaeilge de l'Irlande sur le sujet)

Back to Top


Other Links

Mundus 2 Part 1 for Deutsch-Ostafrika ;Mundus 2 Part 2 for Union Minière du Haut Katanga .

To read the full article in HTML form, visit : Congostateblogspot

King Léopold denies charges against him - 1906

KING LEOPOLD DENIES CHARGES AGAINST HIM
From New York Times (1857-Current file); Dec 11, 1906; ProQuest Historical Newspapers The New York Times (1851 - 2003) pg. 5 Brusssels, Belgium, Dec 10, 1906

In an interview given personally today to the correspondent of the Publishers' Press, King Leopold of Belgium denied categorically the reports which have been circulated so widely of atrocities practiced in the Congo......."

"Then it is not true that atrocious conditions exist in the Congo region?" was asked.

"Of course not. People should credit us with common sense, even if they will not allow that humanity exists outside their won country. It would be absurd for us to mistreat the blacks because no State prospers unless the population is happy and increasing. America knows perhaps, better than any other country, how true this is."....."

"I do not deny that there have been cased of misjudgement on the part of Congo officials. Most likely cruelties, even crimes have been committed. There have been a number of convictions before Congo tribunals for these offenses. I do deny that every effort as far as possible has not been made to stop the ill treatment of natives no only by white people, but by natives themselves...."

...the Scripture parable about the beam and the mote is of as much significance today as nineteen centuries ago. It would be more philanthropic to strengthen our hands, more for the benefit of civilization, for all white persons to stand united than for some to abuse us, which certainly does not augment the respect it is good for the African natives to have for the white race. It would be of more interest to civilizations to show the natives that Christians have good feelings for their neighbors..."

Leopold dwelt at some length on what has been accomplished in the Congo, saying:

"In no shape or form have I bettered myself financially through my relationship with the Congo. On the contrary, I have spent large sums of my own in developing the country - sums amounting in the aggregate to millions....."

It is more to me than money to a miser for me to know my work in the Congo has not been vainly spent. From a wild African forest, inhabited by cannibals, the Congo is developed wonderfully, its revenues increasing from nothing to $10,000,000 annually..."

.."But what has been accomplished is nothing to what will be. there is fabulous wealth in the country. I am making every effort to see that it is properly developed. I cannot conceive anything that will give a greater return than planting rubber trees there. Rubber sells for $2,000 a ton, and the Congo is the natural rubber region of the world. To care for the future supply of rubber is one of the objects of the new so-called American Company formed to invest money in Congo realty...."

"This is not purely an American corporation; half of the shares are held by Belgian financiers. The new company has two objects - first, to prospect for and work mines, and, second to plant rubber forests on modern principles....."

Les atrocités congolaises dans la littérature européenne populaire by Susanne Gehrmann (Université Humboldt à Berlin)

Paper presented at the Colloquium "Colonial Violence in Congo," May 12-13, 2005 ;
Organized by the Belgian Association of Africanists and the Royal Museum of Central Africa

Table of Population for Africa (1905)

Back to Hati za Kale na za Leo: Page List

I Previous page I Full page List I Next page

© M. E. Kudrati, 2006:This document may be reproduced and redistributed, but only in its entirety and with full acknowledgement of its source and authorship