PAGE 6
I Previous page I Full page List I Next page
Al-Idrisi (b.1100-d.1165 or 1166), full name Abu Abd Allah Muhammad al-Idrisi (Arabic: أبو عبد الله محمد الإدريسي) world map from 1154. Note that south is at the top of the map |
Mafungo yahusiana na Sultani ya Kilwa katika kitabu cha "Safari ya Ibn Battuta"
Kuona mafungo yahusiana na kisiwa cha Kilwa katika kitabu cha "Safari ya Ibn Battuta", tumia kiungo / To view relevant passages on the island of Kilwa itself go to: 14th.century coast of East Africa
Ukumbuko wa Sultani ya Kilwa
Wakati wa jilio langu kule, Sultani alikuwa Abu al Muzaffar al Hassan, na pia alikuwa akiitwa Aba-l-Mawahib (Hassan V ibn Sulayman Abu'l-Mawahib ) , kwa wingi wa upaji na ukarimu wake. Kulikuwa na mashambulio mengi kwenye nchi ya Zanji, kupigia hao na kuteka nyara. Khamsa ya hiyo ilitolewa na ilitumikwa katika matumizi yameyoainishwa humo mwenye kitabu cha Allahu taala. Sehemu ya wajamaa iliwekwa mbali , hazinani, na ijapo wakaja wageni washarifu, aliitoa kwao. Washarifu walikuwa wakisudia hapo pake kutoka nchi za Irak na Hejaz na nyinginezo sawa na hizo mbili. Na mimi niliona, miongoni mwa jamii ya masharifu wa Hejaz pale, Muhammad bin Jammaz, Mansur bin Lubaida bin Aba Numa, na Muhammad bin Shumaila bin Aba Numa, wa ama katika Mogadishu nilimkuta Atil bin Kaish bin Jummaz, ne yeye alikuwa na mradi wa kuijia kwake. Sultani huyu alikuwa naye unyenyekeo mno, na alikaa pamoja na maskini, akala nao, na alitukuza watu wa dini na wa heshima.
Hekaya ya ukarimu wake
Nilikuwa hadhara yake siku ya ujamaa, na yeye alipotoka baada ya kusali kusudia nyumba yake alipingwa na maskini mmoja wa Yemen aliyesema kwake, " Aba-l-Mawahib! " Mara yeye alijibu, "Labaika. ya fakiri! Nini haja yako?" Alisema, " Nipe mavazi unayo hayo! " Yeye alimwambia, " Naam. Nitayakupa." Alirudi msikitini na aliingia chumba cha khatibu. Pale, alibadilisha nguo zake, alivua zile nyingine na alisema kwa maskini, "Ingia, na zichukue" Maskini aliingia ndani, alishika nguo na alizifungia katika kitambaa. Halafu, alizitweka kichwani na alikwenda zake. Watu walizidi katika mashukrani yao kwa kuwa Sultani amewaonyesha kadiri ya unyenyekevu na ukarimu huu. Lakini mtoto wake, na mrithi wake, alichukua nguo zilizokuwa naye maskini kwa kuzibadilisha na watumwa kumi. Alpofikia habari hii kwa Sultani kwa kuwa watu wamemshukuru yeye kitendo chake hicho, yeye pia alitoa amri kumpa maskini vichwa kumi vya watumwa, na himila mbili za pembe. Na kumbe watu pale wazidi zawadi ya pembe , ama ya dhahabu watuza mara chache tu.
Alipokufa Sultani mfadili na mkarimu huyu, Mungu amrehemu yeye, alimrithi kaka yake Daud (Da'oud IV ibn Sulayman) ukhalifa, na katika jambo hilo alikuwa mbali kabisa. Ijapokuwa mhitaji akaja kwake, alimwambia yeye, " Amekufa tayari yeye aliyekuwa mpaji, na baadaye hakuachia chochote cha alichokuwa akilipa." Na walisimama vikundi vya watu kwa miezi mingi mlangoni wake kisha alitoa zawadi kidogo hata mifiko ya watu ilikoma kabisa kuja mlangoni wake.
Original Arabic text translated above:
ذكر
سلطان كلوا
وكان سلطنها
في عهد دخولي
إليها ابو
المظفر حسن ،
ويكني ايضا
ابا
المواهب
لكثرة مواهبه
و مكارمه ، و
كان كثير
الغزو الي ارض
زنوج يغير
عليهم
وياخزالغنائ
5;
، و يخرج خمسها
ويصرفه في
مصارفهالمعي
6;ة ف كتاب الله
تعالي،
ويجعل نصيب
ذوي القربي في
خزانة علي
حدةفإذا جاءه
الشرفاء دفعه
اليهم .
وكان الشرفاء
يقصدونه من
العراق
والحجاز
وسواهما ،
ورايت عنده من
شرفاء الحجاز
جماعة منه
محمد بن جماز،
ومنصور بن
لبيدة بن ابي
نمي ، ومحمد بن
شميلة بن ابي
نمي ،ولقيت
بمقدشو اتيل
بن كيش بن جماز
، وهو يريد
القدوم عليه ،
وهذا السلطان
له تواضع شديد
و يجلس مع
الفقراء
وياكل معهم
ويعظم اهل
الدين
والشرف .
حكاية من
مكارمه
حضرته يوم
جمعة ، وقد
خرج من
الصلاة
قاصدا الي
داره ،
فتعرض له
احد
الفقراء
اليمنيين
فقال له ـ
لبيك
يافقير ما
حاجتك ؟
قال ـ
اعطيني
هذه
الثياب
التي عليك
* فقال له ـ
نعم
اعتيكها .
فقال ـ
الساعة .
قال ـ نعم
السعة .
فرجع الي
المسجد ،
ودخل
بيت
الخطيب ،
فلبس
ثيابا
سواها ،
فخلع تلك
الثياب ،
وقال
للفقير ـ
ادخل
فخذها
* فدخل
الفقير
واخذها
وربطها في
منديل ،
وجعل فوق
راسه ،
وانصرف ،
فعظم شكر
انناس
للسلطان
علي ما ظهر
من تواضعه
وكرمه
،واخذ
ابنه ولي
عهده تلك
الكسوة من
الفقير ،
وعوضه
عنها
بعشرة من
العبيد ،
وبلغ
السلطان
ما كان شكر
من
اناس له
علي ذلك ،
فامرللفق
10;ر ايضا
بعشرة
رؤوس من
الرقيق
وحملين من
العاج
،. ومعظم
عطايهم
العاج ،
وقلما
يعطون
الذهب.
ولما توفي
هذا
السلطان
الفاضل
الكريم ،
رحمة الله
عليه ، ولي
اخوه داود
فكان علي
الضد من
ذلك ، إذا
اتاه سائل
يقول له ـ
مات الذي
كان يعطي ،
ولم يترك
من
بعده ما
يعطي . وقيم
الوفود
عنده
الشهور
الكثيرة
وحينئذ
يعطيهم
القليل
حتي انقطع
الوافدون
عن بابه.
For the sake of completeness the relevant excerpt from Gibb's translation is reproduced below :
The sultan at the time of my visit was Abu'l-Muzaffar Hasan, who was noted for his gifts and generosity. He used to devote the fifth part of his booty made on his expeditions to pious and charitable purposes, as is prescribed in the Koran, and I have seen him give the clothes off his back to a mendicant who asked him for them. When this liberal and virtuous sultan died, he was succceeded by his brother Dáwúd, who was at the opposite pole to him in this respect. Whenever a petitioner came to him, he would say 'He who gave is dead and left nothing behind him to be given'. Visitors would stay at his court for months on end, and finally he would make them some small gift, so that at last people gave up going to his gate.
Extract from Ibn Battūta, Travels in Asia and Africa 1325-1354 selected and translated by H. A. R. Gibb. Broadway Traveller's Series ( London : Routledge and Sons, 1939). Page 10.
The Empire of Zenj: In it's heyday this polity extended across the East African coast from Mogadishu to Zanzibar, and into the interior a considerable distance.
KILWA - reigning dynasties.
SHIRAZI
Al-Idrisi (b.1100-d.1165 or 1166), full name Abu Abd Allah Muhammad al-Idrisi (Arabic: أبو عبد الله محمد الإدريسي) world map ;1154. A widely used and well known Geographical Information Systems (GIS) software, developed by Clark Labs in USA, is named Idrisi as a dedication to the Arab geographer. |
For information on other East African dynasties, see source site
at :Regnal
chronologies Mafungo yahusiana na kisiwa cha Kilwa
katika kitabu cha "Safari ya Ibn
Battuta", tumia kiungo/To view relevant passages on the island of Kilwa itself go to: 14th.century coast of East Africa I Previous page I Full page List I Next page
© M. E.
Kudrati,
2006:This document may be reproduced and redistributed, but only in
its
entirety
and with full acknowledgement of its source and authorship